Yu wapi Nimon Toki Lala?

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
yaani mi nikiusikiliza huu wimbo wake unaoitwa 'simne', NACHOKA KABISA.

Yuko wapi jamani huyu mwanadada machachali?!!!
 
Achana na huo kuna mmoja alishirikishwa na awilo....
Ila tuje kwenye topic kama atakuwa yupo hai basi umri ndio sababu yakutokwepo kwenye game.
 
Achana na huo kuna mmoja alishirikishwa na awilo....
Ila tuje kwenye topic kama atakuwa yupo hai basi umri ndio sababu yakutokwepo kwenye game.
Yeah, naujua ule unaitwa bibala bala km sikosei. Ila mimi, simne naufili zaidi.....sauti nyororo, vyombo vimetulia sana; una hisia sana
 
Tulishakubaliana post iende sambamba na kapicha tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…