alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Ok, Safi alitamba na sauti fulani nyororo yenye mvuto mwenye taarifa zake atujuze.Nswima Ernest Mfipa wa Sumbawanga hukooo alitamba sana RTD na sauti yake ya Madaha
Tupia picha zake mkuuNswima Malaso Ernest....kuna picha zake za enzi hizoo wakiwa na akina Charles Hillary
NakaziaTupia picha zake mkuu
Sana tu mkubwaNakazia