Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NiliisikiaYupo, na alitoa clip kumuenzi JPM
Mimi ndio mme KAMA UNA MCHECHETO nipatie niutulize.Imekuwa yuko wapi yuko wapi,yani ukiamka yuko wapi,yani ni upumbavu tu umejaa kwako.. haya mme wako yuko wapi,tuanzie hapo!!
Sometimes anaongelea mifumo ambayo ni unpracticable kwa sasaKati ya watu hovyo kutokea na Plo Lumumba.
Jamaa bado ana mawazo ya kisocialism.
Bora akae kimya tu.
Unataka umsikie wapi? Jaribu kutafuta kwenye mitandao yake basi ujidhihirisheHabari wakuu,
Huyu mwamba sija msikia kabisa kuzungumzia kifo cha JPM japo speech zake alikuwa ana mfagilia MNO na alikuja akapewa zawadi na HAYATI JPM.
Alipo jamani mwambieni JEMBE LETU LIMEONDOKA,
Kwenye forum yake ana kipindi cha wiki nzima for Magufuli.Habari wakuu,
Huyu mwamba sija msikia kabisa kuzungumzia kifo cha JPM japo speech zake alikuwa ana mfagilia MNO na alikuja akapewa zawadi na HAYATI JPM.
Alipo jamani mwambieni JEMBE LETU LIMEONDOKA,