Yu wapi Z Anto?

Napenda wimbo wake wa Imani Sina, uko powa sana kwa kweli
 
Samahani sister. Mimi ndiye Z Anto mwenyewe. Ni kweli siku hizi nimestaafu muziki kwa muda, na hivyo nimehamia kwenye mishe nyingine za kuniingizia kipato.

Ukitaka nikuimbie ukiwa peke yako zile nyimbo zangu zote, tuwasiliane tu. Bado sauti yangu ni ile ile ya kubana pua. 😩
 
Naufufua Uzi huu hata me namtamani arudi kwenye game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…