Yuko wapi Alex Ngussa wa RFA?

Rivarcardo

Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
13
Reaction score
14
Alex Ngussa ni miongoni mwa watangazaji bora kuwahi kutokea nchini Tanzania, kwa waliowahi kumsikia akiwa katika ubora wake Redio Free Africa, mwanzoni mwa miaka ya 2000,watakubaliana na mimi.

Alikuwa akitia nakshi kwa matumizi yake ya lugha adhimu ya kisukuma.Ni muda mrefu sijamsikia na ningependa kujua yuko wapi kwa sasa na anafanya nini?Ni kipaji adhimu cha utangazaji ambacho bado kinahitajika katika tasnia yetu ya habari..
 
Baadaye alienda radio one ila sasa sijui yuko wapi
 
Kuna mida alikuwa anasikika METRO FM ya jijini Mwanza. Nasikia siku mambo si haba!
 
Ni diwani kata ya kirumba!!! Ccm yuko vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…