Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu.
Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao.
Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki wala aonekani yu wapi huyu Chama? Alyepewa jina la mwamba wa lusaka kutokana na kusakata kabumbu kwa ustadi wa hali juu?