Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Arteta anaijenga timu kama tu alivyoifanya Klopp Liverpool. Arsenal itarudia namba yake ya kawaida kwenye league table tangu 2004 'tatu bora'.Mimi ni mmoja wao nilimkataa Mikel Arteta na bado simkubali.
Uzi wako upo,tuombe uhai mechi mbili zijazo, tupo hapa.
Wewe si mtu wa sokaNauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.
'Mungu mbariki Arteta'
πππππππππππππ
Bado sijamkubali kabisaa.Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.
'Mungu mbariki Arteta'
πππππππππππππ
Mkuu Erythrocyte labda hunijui. Ungenijua usingesema hivyoWewe si mtu wa soka
Unamleta Julio.Unamfukuza arteta unamleta nani?
Duniani makocha wazuri wachache sana.
Hivi Arteta aliwahi kufundisha timu gani iliyopata mafanikio , wapi , lini na timu hiyo inaitwaje ?Unamfukuza arteta unamleta nani?
Duniani makocha wazuri wachache sana.
WengerUnamfukuza arteta unamleta nani?
Duniani makocha wazuri wachache sana.
Haya sasa !
Ha haMimi ni mmoja wao nilimkataa Mikel Arteta na bado simkubali.
Uzi wako upo, tuombe uhai mechi mbili zijazo, tupo hapa.