Yuko wapi Allan Mapigo?

Yuko wapi Allan Mapigo?

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
Huyu jamaa alikuwa ni producer mkali, ametengeneza ngoma zilizo-hit sana miaka hiyo ikiwemo ngoma nyingi za Banana Zorro kama Niko Radhi, Hafsa Kazinja - Pressure na ngoma kibao.

Miaka ya karibuni simsikii, kapotelea wapi? Ila Banana Zorro mkali aisee
 
allan Mapigo yupo MDB kama sound engineer chini ya maxmillian Rioba..
 
Wengi tu siku hizi wapo kimya Sana
1. Malone Linje
2. Mika Mwamba
3. Rajabu Marijani
4. Yule jamaa(Bizman?) wa Sound Crafters?
 
Oy
Nipo mkuu.

Sasa hivi nimeacha maneno naweka mapigo tu kwenye muziki.

Mwaka huu utakua ni kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa.
Ooo oyoooooo wera weraaa weraaaa
 
Nakubali sana ngoma alizomtengenezea V2 , yule dada wa kule Zanzibar chini ya Chuchu Yussufu (Mzee Chuchu).
 
Back
Top Bottom