Kweli mkuu?Yupo TBC1 anahost kipindi cha muziki cha jioni
Yeah. Kipindi kinaitwa Zinazokikibongo. Nenda facebook mtafufe kwa jina la anna anapita.Kweli mkuu?
Ulikuwa huna habari??Kweli mkuu?
Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.Aiseeee!! Huyu mwanadada alikua
Ameft sana pale kwny planet bongo,
Alikua anaipatia vzr sana akiwa
Na,dulla lakin nmeshaangaa
Juz naskiliza tena online mara
Nakutana na jamaa mwingne
Cjui ndo anaitwa junior jr,
Anaboa kichz kwenye hicho
Kipind
Cjui Ipp nn wanawakosea hawa wafanya
Kaz wao cjui n mshara cjui n ubaguz
Ama
Aiseeeee!!! Dulla na,samUkiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
Kifesi mbona umekomaa sana na kina Misago? Au ndo wamezifungia nyimbo za wcb zisipigwe?[emoji23]Ukiona mtangazaji au dj anadumu EA RADIO AU EATV basi ujue si mtangazaji au dj bora,kama walivyo wakina Dullah na Sammisago hawana soko kwingine na wala hakuna anaewahitaji. Watangazaji wasioweza hata kuyavutia makampuni mengi kutangaza kwao.
We sio mfuatiliaji mzuri wa PB ndio maana unasema hivo japo umeweza kueleza unavyoweza..junio jr anakinukisha vibaya mno kuliko hata huyo aliyesepa ...Aiseeee! Huyu mwanadada alikua amefit sana pale kwenye planet bongo, alikuwa anaipatia vizuri sana akiwa na Dulla lakini nimeshangaa Juzi nasikiliza tena online mara nakutana na jamaa mwingne sijui ndo anaitwa Junior jr, anaboa kichizi kwenye hicho kipindi sijui ipi nini wanawakosea hawa wafanyakazi wao sjui ni mshahara sijui ni ubaguzi ama?
natoa maoni yangu tu wala sio sababu hiyo,mbona ni siku nyingi sana hawako vizuri na wcb.Kifesi mbona umekomaa sana na kina Misago? Au ndo wamezifungia nyimbo za wcb zisipigwe?[emoji23]
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Anaitwa king smash yupo kwenye the cruiseKuna Jamaa m1 yupo hapo EA Radio mda mwingi anasema "Woza,woza,woza "
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Alishaacha kazi sasa hivi anapiga kazi kwenye sehemu mbalimbali za muziki na ana company yakeNa yule DJ mafuvu yukwapi??? Nimemiss kelele zake zile dah
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Sina habari kabisa mkuuUlikuwa huna habari??
Ok asante mkuuYeah. Kipindi kinaitwa Zinazokikibongo. Nenda facebook mtafufe kwa jina la anna anapita.