Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Huyu jamaa aliibuka miaka ya 2004 hadi 2008 hivi
Akiwa na ujio wa kuitwa "Kizizi",
Baadaye akaja na "Mara 7",
Pia aliachia hadi album.
Alikuwa chini ya G_Productions kama sikosei,
Na alifananishwa sana na Mr.Blue kwa miondoko yake.
Tujuzane ,
Kwa sasa yuko wapi na anashughulika na nini tofauti kuimba?