Yuko wapi BabLee wa Kizizi?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,635
Reaction score
4,160
Huyu jamaa aliibuka miaka ya 2004 hadi 2008 hivi
Akiwa na ujio wa kuitwa "Kizizi",
Baadaye akaja na "Mara 7",

Pia aliachia hadi album.

Alikuwa chini ya G_Productions kama sikosei,
Na alifananishwa sana na Mr.Blue kwa miondoko yake.

Tujuzane ,
Kwa sasa yuko wapi na anashughulika na nini tofauti kuimba?
 

Attachments

  • 1470691643877.jpg
    28.9 KB · Views: 80
Kumbe handsome
 
aisee kizizi ilibamba kimtindo 2006.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…