Wakuu
Tunaelekea msimu wa 2021-2022
Wachezaji wameshajua hali zao, ligi na timu watakazochezea
Sasa naona imekuwa kimya kirefu kwa mchezaji wa yanga balama mapinduzi tangu alipoumia na tulitaarifiwa atakaa nje ya uwanja kwa msimu mzima
Sasa tunauanza msimu mpya bila kupewa taarifa yoyote, je Balama bado yupo yanga?
Anahali gani huko alipo?