Kwani humuoni kika siku yuko na yanga ila bado haanza rasmi kucheza yuko kwenye programu ya matibabu na rehabilitationWakuu
Tunaelekea msimu wa 2021-2022
Wachezaji wameshajua hali zao, ligi na timu watakazochezea
Sasa naona imekuwa kimya kirefu kwa mchezaji wa yanga balama mapinduzi tangu alipoumia na tulitaarifiwa atakaa nje ya uwanja kwa msimu mzima
Sasa tunauanza msimu mpya bila kupewa taarifa yoyote, je Balama bado yupo yanga?
Anahali gani huko alipo?
Kwenye Mwananchi Day hukumuona?
Basi utulie kama unapakwa rangi kuchaKwa bahati mbaya hako ka bonanza sikukafuatilia
Kwa bahati mbaya hako ka bonanza sikukafuatilia
Huyo mchelemchele anatafuta baashaHadi hapa wakulungwa washajua swali lako la msingi halipaswi kupewa jibu lolote
Basi utulie kama unapakwa rangi kucha