Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Habari Wana bodi,
Maisha ni watu na bila watu hakuna maisha,lazima watu waongelewe,wajadiliwe ndiyo maisha yenyewe. Ukiwa Famous, super star,n.k lazima utajadiliwa lakini Kuna watu humu utasikia wakihoji eti kwanini unamjadili mtu,sijui ni kukosa kazi za kufanya,
Mara ooh,unamjadili tajiri ilhali wewe huna kitu, mara ooh ni ujobless. Naomba niwaambie tu kuwa Kila mtu mwenye Akili timamu ana majukumu na shughuli nyingi za kufanya
Namaanisha kazi siyo vibarua vya kupandisha matofali huko ambapo huna hata uwezo wa kuchezea smartphone yako.
Kwa wakati. Haters wote piteni kama hamjauona huu Uzi.
Kwenye mada:
Namuulizia Baraka aliyejipa uprince huku akiwa Hana uhakika wa kibarua chake kwenye industry ya bongo flavor.
Dogo aliimba Sana huu wimbo Uitwao "siachani nawe"
Hebu enjoy lyrics, second verse
Labda juu ya kaburi utanipenda Mimi, nikiwa Sina uhai.
Hisia zangu haziheshimiwiii,najidharau sifai..
Heri ya upofu wa macho kuliko nayoyaona..
Umeruhusu mboni zangu Mimi, kumwaga machozi.yaaniii...
Ungejua hisia za mapenzi kutesa moyo ila Bado hazichoshi
Kupendwa sipendwi najua wazi ila Bado siridhiki...
Maana kesho nitaurubuni moyo,unapendwa na unapenda,,,
Nina meno ila najiona kibogoyo,kweli penzi donda moyo...[emoji3531][emoji3531]
Baraka rudi kwenye gemu mdogo wangu, wengine hatuwezi kusikiliza sandakalawe.