Yuko wapi Baraka Da Prince?

Baraka anajua sana, anaimba vizuri tu. Huwa nasearch nyimbo zake na zile alizoshirikishwa nasikiliiiza hadi basi.

Ila ana ujuaji na ushamba flani hivi wa kitoto, na hata ukimwambia hilo atabisha na kukuona hater.
 
WCB walimrubuni kijana wakati yupo kwa kiba wakamwambie akitoka kule atasainiwa WCB akaleta vurugu akatoka ila mambo yakawa tofauti wakaishia kufanya collabo na romy Jones tu
 
Huyu kama angeondoka WCB ungewasikia ".......wamemzulumu..........mara wamemloga sasa hivi hasikiki..........wanamfanyia fitina........."

Ila kwa kuwa alitoka upande huo, chini aliyekuwa mmoja wa ma-Director wa Rockstar mtoto wa Kariakoo, wanasema ana KIBURI....... hapo na account yake ya YouTube wamempokonya.
 
WCB walimrubuni kijana wakati yupo kwa kiba wakamwambie akitoka kule atasainiwa WCB akaleta vurugu akatoka ila mambo yakawa tofauti wakaishia kufanya collabo na romy Jones tu
Hilo tena WCB limekuwa kama jalala.

Angekuwa katoka WCB msinge ongea hivyo. Tungewasikia tu ".......wamemzulumu..........mara wamemloga sasa hivi hasikiki..........wanamfanyia fitina........."

Ila kwa kuwa alitoka upande huo, chini aliyekuwa mmoja wa ma-Director wa Rockstar mtoto wa Kariakoo, wanasema ana KIBURI....... hapo na account yake ya YouTube wamempokonya.
 
Naupenda sn huu wimbo wake, aliimba haswa
 
Kuna nyimbo naiskiliza hapa"yanachosha"kwa wale tunaopitia kweny mahusiano magumu inatukampan kiaina,sema nae kazidi kuimba nyimbo za kuumizwa,abadili upepo cz ana melody na nyimbo nzur pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…