kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Baada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli.
Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa marufuku ya kuendelea kujiita Baraka Magufuli na kama yupo mwambieni nimemkumbuka sana!!
Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa marufuku ya kuendelea kujiita Baraka Magufuli na kama yupo mwambieni nimemkumbuka sana!!