kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Asee hawakumpa kitengo dogo??Yupo kwao anaisoma namba
Asee hope dogo walimpa mchongoMATAGA.
Tumetoka mbali
Kwa sababu gani apewe kitengo??Asee hawakumpa kitengo dogo??
Au alilamba kazi kubwa serikaliniAlikosa kiki
Kiraisi raisi hivi hiviAsee hawakumpa kitengo dogo??
S alikuwa karbu na govtKwa sababu gani apewe kitengo??
ok sawaSubili kampeni zianze utamuona.
daah kwa hiyo baada ya kumtumia wakamuachaYupo kijijini kwao Itona, Mufindi!! Hana jambo kachoka tu. Vipi unataka mpa mishe nimstue?
Ananyea ndoo, za mafweleBaada ya kuona Madaraka Nyerere mtoto wa Baba Taifa akitaka Steve Mengele a.k.a Steve Nyerere kuacha mara moja kujiita Steve Nyerere nikajikuta namkumbuka yule kijana wa Iringa mufindi aliyejizolea umaarufu kwa kuigiza sauti ya hayati Magufuli.
Ni muda sasa sijamsikia tena au nae alipigwa marufuku ya kuendelea kujiita Baraka Magufuli na kama yupo mwambieni nimemkumbuka sana!!