Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Hata Berry White piaHabari zenu wanajamvi? Huyu hitmaker wa Nisamehe Yuko wapi siku hizi kapotea Sana kiukweli
Yuko wapi Mc Babu AyubuHabari zenu wanajamvi? Huyu hitmaker wa Nisamehe Yuko wapi siku hizi kapotea Sana kiukweli
πππ nimekumbuka mbali haka kadubwasha baada ya kukaona
Aisee kitambo
Nipo barakuda Kaka c unajua mishee hukuHabari zenu wanajamvi? Huyu hitmaker wa Nisamehe Yuko wapi siku hizi kapotea Sana kiukweli