Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huyu dada aliyekuwa akipigwa mkonga kwenye jumba la Big Brother yuko wapi? Akiwa kwenye jumba hilo alikuwa na kisirani kama ana mimba, anaye jua aliko aseme
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu dada aliyekuwa akipigwa mkonga kwenye jumba la Big Brother yuko wapi? Akiwa kwenye jumba hilo alikuwa na kisirani kama ana mimba, anaye jua aliko aseme
kama huyo ndiyo mke! bora kuwa mwanachama wa revola!Mwenye namba yake ani pm natafuta mke
kama huyo ndiyo mke! bora kuwa mwanachama wa revola!
Nenda EATV atakuwepo nadhani ni Program director siku hizi.
Kaka kwa kupenda Kitonga???!!Huyu dada aliyekuwa akipigwa mkonga kwenye jumba la Big Brother yuko wapi? Akiwa kwenye jumba hilo alikuwa na kisirani kama ana mimba, anaye jua aliko aseme
Bora asionekane kabisa, kaliabisha kabisa Taifa letu
Yap ndo yeyeHivi ndio huyo wa EATV kipindi cha dadaz?
Aisee you are now bumping....Hivi ndio huyo wa EATV kipindi cha dadaz?