Amestaaafu nduguNi muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na kwa weledi mkubwa. Kipindi hiki kimeanza kukosa umaarufu wake baada ya kukosekana Ndugu R.Masako. Ni wakati muafaka kumrudisha Ndugu R. Masako kuendelea kukiongoza kipindi hiki. Ndugu R.Masako hakika ni jembe
Masako kastaafu.
Hilo swali ni vizuri ukamuuliza Joyce MhavileJe wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua
Kwa nini unaniuliza mimi hili swali?Je wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua
Kweli wewe truvada aiseeJe wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua
Masako amestaafu, ila kwa upande wangu naona kuwa Jackline Silemu yuko vizuri sana kwenye kipima joto. Wakati mwingine nachelea kusema kuwa yuko vizuri hata zaidi ya Masako. Labda kwa ule mtindo wa Masako wa kuongea kwa weledi Jackline yuko juu.Ni muda mrefu nimemkosa Comrade R. Masako katika kipindi cha KIPIMA JOTO cha kila Ijumaa baada ya taarifa ya habari. Ndugu Masako ni Mratibu muhimu wa kipindi hiki kutokana na kukiongoza vizuri na kwa weledi mkubwa. Kipindi hiki kimeanza kukosa umaarufu wake baada ya kukosekana Ndugu R.Masako. Ni wakati muafaka kumrudisha Ndugu R. Masako kuendelea kukiongoza kipindi hiki. Ndugu R.Masako hakika ni jembe
Unamdai nini!!!! [emoji12] [emoji12]Je wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua
Hupo Tanzania au nenda mikocheniJe wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua
AiseeeJe wamemlipa mafao yake au alikuwa kibarua