Yuko wapi D-Knob?

Yuko wapi D-Knob?

wejja

Senior Member
Joined
Nov 1, 2011
Posts
126
Reaction score
16
habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili? kuna jamaa mmoja alikuwa hot sana kwenye bongo fleva, nilimfahamu kwa nyimbo zake kama ELIMU MITAANI, SAUTI YA GHARAMA (ft. mez-B), INGEWEZEKANA (ft. ray c) na KITU GANI (ft. QJ) na hit songs nyingi. Jamaa huyu si mwingine ni D-KNOB ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya huku ngoma zake za zamani zikiendelea kuhit huku mtaani, mwenye kujua huyu jamaa aliko na anafanya nini atujuze kwa sababu tumemmiss sana jamaa huyu katika game
 
Hajui kuimba bora akae hukohuko alikopotelea.
 
Back
Top Bottom