Safi Sana imekaa poa.D knod yuko town anafanya kazi zake za matangazo na project management ni kati ya walioshtuka kuwa game haina future yuko vizuri tu ukukitana nae amependeza sio yule wa elimu mtaani.com
Unafanya kazi za matangazo Mara nyingi amekua akizifanyia kwa mj akishirikiana na Marco chaliSafi Sana imekaa poa.
Uyo yupo kwao tabata chang'ombeHata mchiz mox kapotea
Anaishi kiwalani?Yupo kìwalani
jamaa alikuwa na flow tamu sana
Alisikika mlevi mmoja, wewe unayejua umeimba nini?Hajui kuimba bora akae hukohuko alikopotelea.