Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

Mwamba alikuwa anatembea na simu mbili zilizojaa mambo ya brothersDotCom
😁
1709961924549.png
 
Yupo ila ameamua kutumia muda huu kwaajili ya mapunziko.

Ameandaliwa nafasi ya Uteuzi ambayo ataitumikia kabla ya Mwaka huu haujaisha.
 
Siasa za ccm unaitaji uwe na akili ya mwendawazimu kuweza kuzimudu
 
Back
Top Bottom