Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

Yupo ila ameamua kutumia muda huu kwaajili ya mapunziko.

Ameandaliwa nafasi ya Uteuzi ambayo ataitumikia kabla ya Mwaka huu haujaisha.
 
Siasa za ccm unaitaji uwe na akili ya mwendawazimu kuweza kuzimudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…