sir venance
Senior Member
- Oct 26, 2017
- 151
- 223
Huyu jamaa ni moja kati ya watu wasioongelewa kabisa hapa nchini hususani katika tasnia ya filamu za kibongo,japokuwa wengi wetu filamu za kitanzania zimetutoka kabisa mioyoni mwetu,ila kuna watu Kama Mtitu game au Gabriel Mtitu walikua ndio watu waliotengeza filamu nzuri za kibongo hapo nyuma,huyu kupitia kampuni yake ndio aliowaibua wakina marehemu Steven kanumba,Ray,johari, Irene uwoya nk., asilimia 70 au 80 za movie za kanumba zilikua zinaongozwa na director huyu,movies Kama johari,Oprah,nk zote ziliongozwa na huyu jamaa,lakini cjawahi ona hata media yoyote kufanya interview na Mtitu game hii ni kutothamini mchango wake,kwa wanaomfahamu vizuri huyu jamaa bado yupo kweli?