kuna ngoma nimezisikia leo Kiss Fm nikamkumbuka huyu Dj aliyekuwa pale Mawingu kwenye Mid morning jam! Kipindi hicho Clouds moto kweli! Dj Boogie Master alikuwa mkali wa selection ya nyimbo kali!
toka kipindi hicho alikuwa tayari umri ulikuwa umekwenda lakini moja ya watoa burudani wazuri kipindi chao na akina Bonny Luv,John Dilinga and Dj Habib!