mara ya mwisho kumsikia dj huyu aliyepata kuwa maarufu sana nyakati hizo alikuwa radio one.
kwa yeyote ajuaye alipo na anafanya nini atujuze tafahali,
alijua kuyapanga mabuzuki, masebene, mandombolo, manzawisa yaani we acha tu.
Rankim Ramadhani Nyamka ndio jina lake kamili