Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

Leo tungekuwa tunasema Bashiru anaupiga mwingi, 2025 twende na Bashiru. He lacked consistency,he could be very far today if he chose to take the road not taken
 
Hangaya amemnyamazisha na kumtuliza.

Lkn twende nyuma na turudi nyuma, maono ya Bashiru kuwa huyu mama hafai kuwa rais yalikuwa sahihi.
Alikuwa sahihi kabisa lakini walikumbuka shuka wakati kumeshakucha. Ilitakiwa baada ya uchaguzi wa 2015 mara baada ya Magufuli kuingia wabadili katiba na makamu wa rais asiwe tena ni mrithi wa kiti cha urais automatically. Hivyo basi 2020 baada ya uchaguzi tungeanza na katiba mpya ambayo makamu asingekuwa mrithi wa kiti cha urais.
 
Leo tungekuwa tunasema Bashiru anaupiga mwingi, 2025 twende na Bashiru. He lacked consistency,he could be very far today if he chose to take the road not taken
Bashiru ni Mwalimu wangu amenifundisha almost miaka mitatu. Ni nguli wa Sayansi ya siasa na darasani nilimwelewa vyema sana yeye na Dr Benson Bana. Licha ya ubingwa huko wa Sayansi ya siasa Dr. Bashiru hawezi siasa!...sio mwanasiasa ndio maana kwa kipindi kifupi sana alicholetwa kwenye siasa ameshindwa ku -survive.
 
Kwa hiyo kwa lugha nyepesi alikariri tu shuleni kama kawaida au sio?
 
Bila shaka na Dr Ng'wanza Kamata amekufundisha IR I na II.

Ulikuwa PSPA darasa la mwaka gani mate?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…