Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

Mabeyo alikosea sana kulazimisha mama arithi.Maana tumejionea mauzauza yanayolikumba taifa letu.Alitakiwa kuwasikiliza Hawa wazalendo kama bashiru kakulwa ally ambao waliona mbali kuwa ataiharibu Nchi yetu na tumejionea kweli
 
Kama babaako ndio alikufa na akifa bahati mbaya hatutajua kwakuwa ni nobody, lakini Mh. Dk. Bashiru Ally Kakurwa (PhD), (MB) yupo mzima na anachapa kazi zake za Kibunge, za Kitaaluma na za Kifamilia kama kawaida.
Wanna be National Vice chairman CCM candidate. .
 
Huyu Bashiru alikimuwa ni mmoja ya walevi wa madaraka kipindi cha muovu magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…