Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?
Yeye pamoja na aliyekuwa mpiga picha wake, John, baada ya kampeni za CCM kuisha wako katika dawati la Kurugenzi ya Mawasiliano, ikulu.
Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?
Mkuu Buhohela yupo team ya waandishi Ikulu. Angalia video Youtube zinazoandaliwa na ikulublog utaona jina lake likiwa miongoni mwa majina ya watayarishaji.Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?
Teh Teh Tumaini makene wewe uko kwenye kurugenzi ya ikulu kimvuli....Yeye pamoja na aliyekuwa mpiga picha wake, John, baada ya kampeni za CCM kuisha wako katika dawati la Kurugenzi ya Mawasiliano, ikulu.
Yuko Magogoni kijana machachari na makini.Moja ya watangazaji wenye uwezo mkubwa ni Emmanuel buhohela wa itv.alikuwa akimudu vema kipindi cha dakika 45.na katika kampeni za uraisi octoba alikuwa akiambatana na rais magufuli wakati wa kampeni.lakini Mara baada ya kampeni kuisha hasikiki tena.je yuko wapi kwa sasa?
Hahaha nmecheka kwa sauti..japo sio mazuriTeh Teh Tumaini makene wewe uko kwenye kurugenzi ya ikulu kimvuli....