Yuko wapi Fide Iranga aliyetikisa Dar

Kitambo kileee,alipakaziwa sana kuwa ana umeme,na Profesa wa mitulinga ametafuna sana huu mzigo,ni mmoja wa
wanamitindo waliotamba kimtindo enzi zake...

ndo maana jamaa kuna nyimbo anadai watu walimsema ana ngoma

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitambo kileee,alipakaziwa sana kuwa ana umeme,na Profesa wa mitulinga ametafuna sana huu mzigo,ni mmoja wa
wanamitindo waliotamba kimtindo enzi zake...

[emoji113]
 
Yani huyu alikuwa mwanamitindo na alitamba! Kweli hii nchi imetoka mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…