Yuko wapi flani? Tutafutane Mkuu

Yuko wapi flani? Tutafutane Mkuu

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
28,916
Reaction score
40,479
Habarini Wadau,

◆ Yawezekana katika maisha yako tangu kuzaliwa, kuanza chekechea, primary, secondary, chuo au katika pilika za maisha ulipotezana na jamaa ama rafiki yako wa karibu.

◆ Tutumie fursa hii kutaja jina lake na kuuliza alipo.

◆ Huenda ni member wa hapa jamvini ila hujui au kuna aliye naye karibu.

→ Mimi nawaulizia watu wawili ambao ni:-

1) Dorothea Palangyo - alisoma Aldersgate babati 2005-2006

2) Daniel Warae Petro, aliishi Arusha 1998-2000

Popote walipo tuwasiliane pls.
 
Demu wangu wa chuo neema popote ulipo nakutumia dedication ya wimbo dume suruali
 
Membaz wa AZA-JANGWA na TAMBA-ZANA way back enzi za late John Puzza popote mliko.
 
Mh! Kuna kiharufu fulani hapa.kutaja majina halisi yahitaji moyo
 
Back
Top Bottom