Juzi tu hapo, sisi ndio waanzilishi wa TAPA KasuluClassmates wangu wa kasulu secondary 2005-2008
Wengi hawaijui jf mkuu ni wewe peke yako ulibahatika kupata hii fursa ya kuwa memberWale tuliomaliza Havard mwaka 1997 nawatafuta jamani.
Ila ni Havard ya Kitunda jamani.
Mwaka gani mkuu?Juzi tu hapo, sisi ndio waanzilishi wa TAPA Kasulu