Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kiben ten anacho sister fay, kiben ten kuliko viben ten wote bongo hiiKi benteni au!
Nakumbuka wakisema hivyo
labda kio chako sio changuAlisifika kwa burudani ya nyimbo za injili, akazinguana mumewe na kutengana naye! Akapata mpendwa mpya naamini ametulizwa kutokana na ukimya unaojitokeza.
Majirani tupeni abc zake maana si vibaya kujifunza kupitia kioo hiki cha jamii
[emoji23]Msela kamtuliza anajua kazi yake, mbasha alikuwa bado mtoto utaendaje kuchezacheza na mkeo mbele ya kamera na mkarudi nyumbani akuheshimu, angefanya hata garage
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah we jamaa umeua hapa.Msela kamtuliza anajua kazi yake, mbasha alikuwa bado mtoto utaendaje kuchezacheza na mkeo mbele ya kamera na mkarudi nyumbani akuheshimu, angefanya hata garage
Sent using Jamii Forums mobile app
Yote yanachangiwa na Maelezo yangu hapo juuKumbuka flora alikuwa na kashfa ya kuisaliti ndoa yake huku kiongozi wake wa kiroho akihusishwa!
nimecheka kwa nguvu mkuuTeh teh!!