Yuko wapi George Maratu

Yuko wapi George Maratu

shahid365

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
518
Reaction score
420
Salaam wakuu

Ni muda mrefu sijamsikia yule reporter wa itv mwenye swaga zake George Malatu mwenye taarifa zake anijuze
jooooooooooji maratuuuuuuuuuu aitiviiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaa

1643283475283.png
 
Loooo samahani mkuu nikajua labda umefanya spelling error kwenye hiyo surname....nikajua ni MASATU....beki kisiki kutokea TP Lindanda then SSC&Taifa Stars!looo huyu wa tv honestly simjui kabisa!
 
Mimi nilikuwa nasikia sauti tu yeye binafsi nilikuwa simuoni.
Bila shaka alikuwa hataki kuonekana mara kwa mara kwenye screen
 
Back
Top Bottom