Hapo mara anawekaga M mwisho yani MARAAAAAAAAAAMAlikuwa na ishu kama shutuma fulani fulani hivi kubwa..nahisi ITV wakampiga chini.
Mimi ni jojiiiii maratuuuuuuuu ITV maraaaaa.
[emoji16]Hapo mara anawekaga M mwisho yani MARAAAAAAAAAAM
Bahati mbaya ni jirani na shemeji yangu huko musoma habadilikag huyo[emoji16]
Bahati mbaya ni jirani na shemeji yangu huko musoma habadilikag huyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo mara anawekaga M mwisho yani MARAAAAAAAAAAM
Mwasisi wa mbwembwe kuripoti habari alikuwa Ben Kiko kutoka Tabora enzi za RTD. Wahenga watakuwa wanamkumbuka.Hahaaa maripota wenye mbwembwe wamekuwa adimu sikuiz
Salaam wakuu
Ni muda mrefu sijamsikia yule reporter wa itv mwenye swaga zake George Malatu mwenye taarifa zake anijuze
jooooooooooji maratuuuuuuuuuu aitiviiiiiiiiii maraaaaaaaaaaaaaa