Yuko wapi George Maratu

Mwasisi wa mbwembwe kuripoti habari alikuwa Ben Kiko kutoka Tabora enzi za RTD. Wahenga watakuwa wanamkumbuka.
Kulikuwa pia na Michael Katembo,nadhani ndio alikuwa anaongoza kwa mbwembwe na alikuwa anazijulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…