J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 17, 2021 #1 Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem!
Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem!
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Sep 17, 2021 #2 Hili Jimbo la Chadema liko mkoa gani?
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Sep 17, 2021 Thread starter #3 Bila bila said: Hili Jimbo la Chadema liko mkoa gani? Click to expand... Ufipa st!
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Sep 17, 2021 #4 Akikosoa wanamdis atasema nini muache apige hela tu basi
Itovanilo JF-Expert Member Joined Jul 30, 2018 Posts 2,314 Reaction score 5,150 Sep 17, 2021 #5 Umeguatilia? au umefuatilia? Halafu kama unamtaka Halima,jua kuwa huyo aliuzwa na klabu yake ya huko TPL, saizi anacheza huku kwetu EPL
Umeguatilia? au umefuatilia? Halafu kama unamtaka Halima,jua kuwa huyo aliuzwa na klabu yake ya huko TPL, saizi anacheza huku kwetu EPL
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Sep 17, 2021 #6 johnthebaptist said: Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem! Click to expand... Wakati wa kikao cha bunge alisema yeye yuko CCM, hivyo nenda Lumumba utamkuta.
johnthebaptist said: Nimeguatilia vikao vyote vya bunge lililomalizika juzikati sijamsikia kabisa mbunge wangu wa zamani hapa Kawe Mh Halima Mdee. Yuko wapi mbunge huyu machachari kutokea Bawacha? Jumaa kareem! Click to expand... Wakati wa kikao cha bunge alisema yeye yuko CCM, hivyo nenda Lumumba utamkuta.