Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nilikuwaga nategemea kuwa HT angekuja Kuwa kama Hakeem Olajuwon wa Houston Rockets Enzi Hizo ambaye alikuwa ni tishio katika NBA.
Hashimu angekuwa saivi NBA angekuwa anakula around. 34milion USD per year Kama akina Steph Curry na James harden,DeMar DeRozan na wenzake wengine waliosustain class of 2009 NBA Draft.
Hii inamaana yeye alikataa kucheza NBA au alikuwa hana uwezo? Au tuseme alikosa timu ya kumpa hilo Dau? BAK Nyani Ngabu FORTALEZA Kocha Mkuu Lee