Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Ila Nilitaka Uzungumzie anguko lake Kidogo Mkuu, Ni Wapi Alikosea Mpak kudrop Kiasi HikiFormer No. 2 overall pick Thabeet signs to play in Taiwan
Free agent center lands overseas deal after spending last season with the G League's Fort Wayne Mad Ants.www.si.com
Pitia link hiyo, kuna taarifa yake.
Naskia Yko Sjui Taiwan [emoji4][emoji4][emoji4]Kutoka NBA hadi Taiwan
Hata china tu kashindwa kwenda jamaniNaskia Yko Sjui Taiwan [emoji4][emoji4][emoji4]
Yuko dar ametulia ukizunguka viwanja vya huko masaki utamuona tu.Ila Nilitaka Uzungumzie anguko lake Kidogo Mkuu, Ni Wapi Alikosea Mpak kudrop Kiasi Hiki
Yuko dar ametulia ukizunguka viwanja vya huko masaki utamuona tu.
Ila Nilitaka Uzungumzie anguko lake Kidogo Mkuu, Ni Wapi Alikosea Mpak kudrop Kiasi Hiki
Brother nakuona upo vizuri sana kwenye basketball. Nipage mikeka aiseNafikiri ni kujituma tu.
Hasheem alikuwa mzuri sana kwenye defense (blocks and rebounds).
Kipindi alichojoin NBA, game ilikuwa inaanza kubadilika, ikihitaji centers ambao wana offensive skills pia, kama kuspace floor, 3 pointers, long jumpers, ku-set screens nk. Tofauti na kipindi cha nyuma ambapo center alikuwa anazunguka kwenye paint kusubiri rebound, block na dunk.
Sasa offensive skills zinahitaji uwe vizuri kweli ku-survive NBA, nadhani Hasheem hakuwa na skills hizo, probably kwa sababu ameanza kucheza kikapu ni mkubwa, hivyo kuna zile fundamental skills ambazo inategemewa uwe nazo, kwa sababu NBA hutafundishwa hizo.
Kama huna hizo skills au umechelewa, means unahitaji extra hours za kufanya intensive exercise ku-cover gaps, hivyo kushinda gym inakuwa ni moja ya hobby zako. Hasheem hakuwa na hobby ya kushinda gym, ndiyo maana off-season zote ulikuwa unaona yuko Dar anapiga misele huku wenzake wanapiga zoezi.
Mwisho ikabidi jamaa atemwe.
Binafsi hiyo ndo naona ni sababu kubwa.
NB: Evolution ya center positions kwa sasa unaona walio kwenye chart ni Joel Embiid (The Process), Nikolan Jokic wa Denver Nuggets, Karl Antony Towns wa Minnesota, Rudy Gobert (Utah Jazz), De Andre Ayton (Phoenix) etc ambapo unaona wanafanya almost kila kitu, hadi ball handling.
Brother nakuona upo vizuri sana kwenye basketball. Nipage mikeka aise
Nets Forward Kevin Durant has retired from the NBA, his agent tells.Nafikiri ni kujituma tu.
Hasheem alikuwa mzuri sana kwenye defense (blocks and rebounds).
Kipindi alichojoin NBA, game ilikuwa inaanza kubadilika, ikihitaji centers ambao wana offensive skills pia, kama kuspace floor, 3 pointers, long jumpers, ku-set screens nk. Tofauti na kipindi cha nyuma ambapo center alikuwa anazunguka kwenye paint kusubiri rebound, block na dunk.
Sasa offensive skills zinahitaji uwe vizuri kweli ku-survive NBA, nadhani Hasheem hakuwa na skills hizo, probably kwa sababu ameanza kucheza kikapu ni mkubwa, hivyo kuna zile fundamental skills ambazo inategemewa uwe nazo, kwa sababu NBA hutafundishwa hizo.
Kama huna hizo skills au umechelewa, means unahitaji extra hours za kufanya intensive exercise ku-cover gaps, hivyo kushinda gym inakuwa ni moja ya hobby zako. Hasheem hakuwa na hobby ya kushinda gym, ndiyo maana off-season zote ulikuwa unaona yuko Dar anapiga misele huku wenzake wanapiga zoezi.
Mwisho ikabidi jamaa atemwe.
Binafsi hiyo ndo naona ni sababu kubwa.
NB: Evolution ya center positions kwa sasa unaona walio kwenye chart ni Joel Embiid (The Process), Nikolan Jokic wa Denver Nuggets, Karl Antony Towns wa Minnesota, Rudy Gobert (Utah Jazz), De Andre Ayton (Phoenix) etc ambapo unaona wanafanya almost kila kitu, hadi ball handling.
Nets Forward Kevin Durant has retired from the NBA, his agent tells.
Daaaah This makes me so sad. I thought he might play tonight... he was dressed much. Kocha Mkuu BAK FORTALEZA
Nimeona Kaka AsanteAngalia source yako vizuri Mkuu, it is FAKE NEWS.
Umeongea vizuri sana Kocha Mkuu Nikolan jokic inasemekana ndio center bora wa muda wote nba, jamaa anafanya kila kitu.! Na mabadiliko makubwa ya macenter yefanyika Ulaya,Ulaya wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye basketball!Nafikiri ni kujituma tu.
Hasheem alikuwa mzuri sana kwenye defense (blocks and rebounds).
Kipindi alichojoin NBA, game ilikuwa inaanza kubadilika, ikihitaji centers ambao wana offensive skills pia, kama kuspace floor, 3 pointers, long jumpers, ku-set screens nk. Tofauti na kipindi cha nyuma ambapo center alikuwa anazunguka kwenye paint kusubiri rebound, block na dunk.
Sasa offensive skills zinahitaji uwe vizuri kweli ku-survive NBA, nadhani Hasheem hakuwa na skills hizo, probably kwa sababu ameanza kucheza kikapu ni mkubwa, hivyo kuna zile fundamental skills ambazo inategemewa uwe nazo, kwa sababu NBA hutafundishwa hizo.
Kama huna hizo skills au umechelewa, means unahitaji extra hours za kufanya intensive exercise ku-cover gaps, hivyo kushinda gym inakuwa ni moja ya hobby zako. Hasheem hakuwa na hobby ya kushinda gym, ndiyo maana off-season zote ulikuwa unaona yuko Dar anapiga misele huku wenzake wanapiga zoezi.
Mwisho ikabidi jamaa atemwe.
Binafsi hiyo ndo naona ni sababu kubwa.
NB: Evolution ya center positions kwa sasa unaona walio kwenye chart ni Joel Embiid (The Process), Nikolan Jokic wa Denver Nuggets, Karl Antony Towns wa Minnesota, Rudy Gobert (Utah Jazz), De Andre Ayton (Phoenix) etc ambapo unaona wanafanya almost kila kitu, hadi ball handling.
Umeongea vizuri sana Kocha Mkuu Nikolan jokic inasemekana ndio center bora wa muda wote nba, jamaa anafanya kila kitu.! Na mabadiliko makubwa ya macenter yefanyika Ulaya,Ulaya wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye basketball!
Mwaka 2011, nilipokuwa katavi(mpanda) kuna injinia mmoja nimesahau jina lake, aliniambia hashimu ni mvivu sana,wenzake muda wa mapumziko ndio muda wa kufanya mazoezi binafsi, ila cha ajabu anarudi bongo kula bata na kina joketi.!
Kingine hawezi handle ustaa, mtoto wa kiswahili akipata pesa nyingi huwa wanajisahau! Aliyekua ananiambia maneno aliniambia yeye na wenzake ndio waliochangia hashim,kucheza basketball na walimnunulia vifaa!
He needs to get his grip on, SERIOUSLY..na hii biashara ya kugombana na watu sijui nini he should just leave that nonsense..... he needs to lay low and put some energy in what he is suppose to be doing...... He should leave the flashy kind of life to people who are already doing well in that area..... He needs to grow up both mentally and spiritually na aanze kuangalia maisha mbele na sio kuangalia only where his nose ends...... Aweke jitihada zaidi........ Kila la kheri Hasheem Thabeet Huko uliko TaiwanMVP mwaka huu kuna possibility kubwa kwenda kwa Jokic au Joel Embiid, ambao ni centers.
Wa mwisho kushinda
MVP akiwa ni center ni Shaquille O'Neil, mwaka 2000. Imagine, 20 years.
Game imechange. Hasheem hakuchange na game ana hakuwa akifanya juhudi zaidi kwenye mazoezi.
Jokic anafaa sana!MVP mwaka huu kuna possibility kubwa kwenda kwa Jokic au Joel Embiid, ambao ni centers.