Yuko Wapi Hashim Thabit Kwa Sasa.

Jokic mtu na nusu yule. Kwake suala la triple double ni kawaida kabisa double double ndio balaa Sasa.
 
Kocha Mkuu kuna dogo mtanzania anaitwa Atiki Ally Atiki nae nasikia alisajiliwa na moja ya klabu za NCCA. Vip unamfahamu? Tutegemee kumuona lini nba endapo atafanya vizuri
 
Mkuu mbona unabandika vitu vya miaka iliyopita?

Are you sure hii ni post ya mwaka huu?
 
Kocha Mkuu kuna dogo mtanzania anaitwa Atiki Ally Atiki nae nasikia alisajiliwa na moja ya klabu za NCCA. Vip unamfahamu? Tutegemee kumuona lini nba endapo atafanya vizuri

Huyu simfahamu, game za NCAA huwa siyo mfatiliaji sana, ngoja nimtafute nione highlights zake.
 
Nafikiri, zile hisia za kibongo bongo zilitawala hisia zake. Huku nyumbani vyombo vya habari vilimbeba na kumtangaza sana. Alitosheka na hilo
 
"Hashimu Sabiti" alifanya upuuzi sana,alikuwa anaingiza zaidi ya bil 5 kwa mwaka ,amelewa sifa na kuchukua kina kidoti muda mwingi anashinda club kupigana na kina TID hafanyi mazoezi matokeo yake likaloose uwezo na likafurushwa.
 
Kocha Mkuu kuna dogo mtanzania anaitwa Atiki Ally Atiki nae nasikia alisajiliwa na moja ya klabu za NCCA. Vip unamfahamu? Tutegemee kumuona lini nba endapo atafanya vizuri
Anaendelea vyema tumuombee muda kiasi ili akiingia afanye vyema zaidi. Pia kulikuwa na jembe linaitwa Sam bahati mbaya alitangulia mbele ya haki ... Huyu alikuwa wametokama hasheem chuo kimoja

Atiki anajua nini anafanya same to Late Sam he was very fine sema tragically bata zilimswipe
 
"Hashimu Sabiti" alifanya upuuzi sana,alikuwa anaingiza zaidi ya bil 5 kwa mwaka ,amelewa sifa na kuchukua kina kidoti muda mwingi anashinda club kupigana na kina TID hafanyi mazoezi matokeo yake likaloose uwezo na likafurushwa.
Eti "Hashim Sabit" [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Eti "Hashim Sabit" [emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani Jamaa ni Lipuuzi sana ,lilikuwa lishatoka kimaisha lingekuwa linachangia uchumi wetu huku Tz kwa kufungua biashara na miradi kibao nchini,kwakuwa ni libichwa maji limeisha "KUMBATO" kina joketi.
 
Lijamaa Liko Huko Taiwan Linakitifua Kwa Sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kocha Mkuu
Watu wanasema HT alikuwa akija dar asubuhi na mchana walikuwa wanamkuta ana train IST ,so sio kweli kwamba alikuwa ha train off season but mambo yana mambo zake
Kupigana na tid ni usiku klabu which hata wengine wanafanyaga kama JR smith nk and still game kinawaka tu?

Watetezi Wa HT hawataki kukiri Kwamba Dogo Alikuwa na MAPUNGUFU yake na hakufanya juhudi. Since alikuwa Unhardworker to make it to the NBA.

Nadhani ukiacha changamoto nyingine za nje ya uwanja, uchezaji wake ulikuwa tayari umepitwa na wakati though nadhani angekuwa Mmarekani angeendelea kubaki NBA
 
Naam huyo dogo namfuatilia kwa ukaribu sana
 
HT ameshindwa ata kucheza kwenye zile klabu za Euroleague, wachezaji wengi kutoka NBA naona wanakimbilia huko
 
Kuna wamarekani wamekua wana kila kitu kutimiza ndoto zao kucheza nba lakin walichemka.. ijekuwa hashim ambae ameanza kucheza basketball umri ukiwa ushaenda!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…