Wakuu kwa wale wapenzi wa kuyarudi mangoma hapa Arusha enzi zile za Cave Disco Tech New Safari Hotel miaka ya 1988 -90s alikuwepo huyu DJ alikua anaturusha sana kwa mipangilio ya kuchanganya nyimbo pamoja na marememu Dj Mac hope alikua anafahamika kwa jina la Dj Mac kama sikosei sijui yuko wapi siku hizi long time sana.
View attachment 40469
Mleta mada hajasema hiyo ni picha ya Mac Hope, bali bali huyo DJ kwenye picha alikuwa anachezesha pamoja na +Marhum Machope!Hiyo picha siyo ya Mackhope, Mackhope ni mweupe, mnene, mfupi. Mara ya mwisho alihamia Dar.
Ukimsikia DJ maarufu wa zamani na sasa humsikii tena, ujue ndio hivyo tena!.
Kweli dada nawe umekula chumvi nyingi! nimepeleleza ni kweli anaitwa Mike na wewe ulikuwepo enzi hizo nini?
Jomba,Kweli dada nawe umekula chumvi nyingi! nimepeleleza ni kweli anaitwa Mike na wewe ulikuwepo enzi hizo nini?
Hawa watoto wa dotcom wana mambo!.watu tumekula chumvi mpaka za mawe.....
nimemuona town wiki haijaisha....
nadhani aliona mziki haulipi akaingia kwenye mambo ya utalii...sina hakika sana....
Yupo Uholanzi anachezesha Disco toto kule nasikia inalipa sana.