Yuko wapi huyu jamaa Raymond mshana!

Yuko wapi huyu jamaa Raymond mshana!

AMAN32

Senior Member
Joined
Feb 6, 2013
Posts
110
Reaction score
55
Kuna jamaa mmoja alikuwa anatangaza pale clouds FM kwenye kipindi cha the request show jumapili na kuna siku alipewa kuendesha kipindi cha xxl badala ya fetty, dozen na Adam walipokuwa wamesimamishwa.siku hizi simskii
 
Raymond Mshana. Alikuwa natangaza request show baada ya njia Panda Na DeAndy, kwasasa kinaitwa On Point.

Huyu Jamaa amepanda cheo. Kwasasa hatangazi. Anapiga mpunga tu kama Dj Mully B , Steve B , Venture. Wanapiga hela zao kwenye vitengo vingine na sio kusikika hewani.

Kiufupi jamaa bado yupo Cloudsfm. Ila hasikiki hewani.
 
bado yupo clouds anapiga voice over. ile sauti ya fiesta 2017 mara paap hiiiiihi ni ya kwake. inshort jamaa matangazo mengi ya kiburudani anapewa mashavu yeye.
 
wari dadi wari pipo(sidhani ka nimepatia kuandika na jinsi anavyotamka hii 'jingle' yake......ivyo ndo alikuwa anajitambulisha sana)....anyway jamaa yupo palepale clouds hajahama.....na wiki kama mbili nyuma alikuwepo kwenye show ya twenzetu kigamboni
 
Back
Top Bottom