[emoji3] [emoji3] [emoji3] labda simba alishampitiaHabari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahahππππππ)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia yeye.. sijamskia siku nyingi.
Uko wapi mzee mzima K4LIFE...Zile story kunawakati tunapunguza stress zetu katika kuisoma namba .. Tunakuhitaji bhaaaana..
Kwani yukoje mkuuhahaha alivyokua makini saana ..yuko vizur sana kwenye kuyakabili majanga
ivo mkuu jamaa ajitokeze tyuahahahahha
Acha kimbelembele weweKuna uzi huko naskia Ameliwa na Simba huko huko Mikumi, halaf alikua ni kichaa kumbe
Nikiwa serious sana humu ntaishi maisha mafupi sana .. sawa duke Music laboratory imekushindaAcha kimbelembele wewe
Hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napumzika kidogo tu mimi ndiyo nimewatoa tamaduni music au una fikiria kazi ndogo ile mimi ndiye producer mkali wa Hip Hop hapa BongoNikiwa serious sana humu ntaishi maisha mafupi sana .. sawa duke Music laboratory imekushinda
Kumbe kazi zangu unazijua, nitajie ipi unaipenda zaidNikiwa serious sana humu ntaishi maisha mafupi sana .. sawa duke Music laboratory imekushinda
hahhahhaah lioneee nenda huko labda ni Duke rapa wewe .. ila ile professional ya fid na ile skeleton uliojazia kwenye Swahili ya stereo ni Konyo..Kumbe kazi zangu unazijua, nitajie ipi unaipenda zaid
Wewe sio duke...Hahaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] napumzika kidogo tu mimi ndiyo nimewatoa tamaduni music au una fikiria kazi ndogo ile mimi ndiye producer mkali wa Hip Hop hapa Bongo
HayaWewe sio duke...