yuko wapi huyu?

Viper

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2007
Posts
3,666
Reaction score
1,404
Hivi huyu bwana mdogo mr. Blu kapotea wapi..?? Nyimbo zake zinanikosha dogo kipaji anacho

 
Kuna jimama linamlea na hatakiwi kujichanganya na warembo zaidi ya kutoa huduma kwake
 
Kuna kipindi akija Mombasa kule...mabasha wakitaka kumlipia kila kitu...sijuwi ilikuwaje maana anapenda Blu blu huyu mtoto...!!!
 
labda alirudi kumalizia shule alokuwa ameiacha!
 
ahhh ashajtoa kafara uyu shulew wap tena?hamna shule apo sana sana ataishia uko mnaz mmoja .com.college
kana kipaj sana sema ujinga na ulimbukeni ulimzd mpk kudis shule
na kanaonekan kana akili km kangekomaa
au sjui alikosa washsuri japo mamake mzazi angemshauri cha kufanya bt si kuacha shule sababu ya kushika mike dah apo tu ndo nkamowna hazimo
angepiga shule then shule ya mzik apo mbele kdg +kipaj alichokuwa +uhandsam aliopewa na mungu mbojna angekula maisha mwaqya bt dooooooo ndo ivo ..........starehe mbele tabu na shda ndogo ndogo ye aztak........!!!!!!!!!
mungu amsaidie arudishe sense arud shule cz he stl a kid so he can mak t if he want.thou ni nghumu kwa maisha alivyoyachukulia na jamii inayomzunguka...........BTY ANA KIPAJ CHA UKWELI
 
Mtu ana miaka 40 unamwita bwana mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…