yuko wapi huyu?

Nadhani karudi kwao kuna timu anachezea, alikuwepo kwenye mechi za mwanzo za mtoano za Europa league msimu huu
 
karudi dynamo kiev ya kwao ukraine na ndio team captain
 
Anakipiga Dynamo Kiev ya Ukrain na jana was watching (he is injured) on the stand game ya ambapo wao wa kirafiki ya kimataifa Ukraine (Captain) and Brazil lilala 2-0 kwa magoli ya Dan Alves na Pato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…