Yuko wapi Issa Michuzi aliyekuwa mpiga picha wa Marais waliopita?

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia.

Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine?

Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
 
Mimi ninayemfahamu alikuwa anaitwa Muhidin Issa Michuzi, vinginevyo kwa jina hilo labda tuanzie Tazara, Sentro, Ostabei na kule kwenyewe haswa.
 
Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia.

Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine?
Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
Una shida gani na Mimi?
 
Watoto wake wanakula uteuzi tu, yeye anaendelea na kupiga picha sio kwa raisi tena
 
Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia.

Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine?
Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
Hatuhusu sisi waulize wana ccm wenzake
 
Ahaaa....wakati huo kila picha inakapsheni ya Muhidini Issa Michuzi..
Ni wa zamani mno... kijiwe cha Empress cinema..
Enzi hizo mpiga picha wa ukurasa wa michezo.... hapo yeye picha zake ni zile za taharuki za Zamoyoni Mogella au Malota Soma anamtoka mtu... mara Salumu Kabunda kapinga chogo chemba...ilikuwa burudani kuangalia ukurasa wa michezo wakati tuko primary...
Alikuwa na blogu yake miaka ile kabla kina fecibuku ilikuwa powa, lakini sasa ni blogu ya kimkakati mno, imekuwa haivutiii...
Na Tshirt yake ile "ngazingazi" sio mchezo....
 
Huyu bwana alikuwa ni mpiga picha mwandamizi katika awamu za 4&5 mtawalia.

Ila kwasasa kwenye awamu hii ya 6 haonekani katika majukumu ya kumpiga picha Rais wa awamu ya 6, ndio kusema ameshastaafu au amepangiwa majukumu mengine?

Njooni mtujuze, afu naskia jamaa ni kipepeo mweusi?
Atakuwa amestaafu huyo
 
Back
Top Bottom