Yuko wapi Jamal Malinzi?

Yuko wapi Jamal Malinzi?

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,101
Reaction score
18,055
Mara mwisho kuonekana ilikuwa tar.3-June=2015.Wadau wana ushauri
cc Jamal Malinzi

Captureaa.GIF
 
Asipopita tena kuwa Rais wa TFF mwakani naachia ' haja kubwa ' pale Posta Askari Monument mchana kweupe tena nikiwa ' mubashara ' kabisa Mkuu.
Hahahahaa
Daaaah!!!
Kwa kweli ntasikitika sana, japo nakubali anaeeza pita
 
Saa hizi anapanga dili la kupiga hela za Simba na Yanga. Eti kasubiri mechi hii ndio afanye majaribio ya electronic tickets. Werevu washaelewa.
 
Alijiunga na Jf kipindi anagombea iyo nafasi alivyopata hiyo kazi JF tupa kuleee
 
Wakoora waitu.. wasibhayomta.. jamaa kapigana hadi kiwanja cha kaitaba bukoba kimewekwa nyasi za bandia...shikamoo muhaya..safi sana..
 
Alijifanya yupo karibu na wadau akafungua hiyo account ili apewe ushauri..kilichofuata ndio akaikimbia mazima. ..kiufupi jamaa ni mbabaishaji namba moko
 
Back
Top Bottom