Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Dec 14, 2015 #21 Yes aliolewa na kigogo wa bandari, ndoa ilopochelewa kujibu kigogo akajipatia watoto kwingine ukawa mwanzo wa mpasuko. Wameesha achana.
Yes aliolewa na kigogo wa bandari, ndoa ilopochelewa kujibu kigogo akajipatia watoto kwingine ukawa mwanzo wa mpasuko. Wameesha achana.
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Dec 15, 2015 #22 maskin said: huyu dada alikuwa anatangaza na ana sauti ya kuvutia sana alikuwa bomba, sana hata mimi nilikuwa namkubali mkuu Click to expand... jibu swali... kama hujui funga bakuli hilo
maskin said: huyu dada alikuwa anatangaza na ana sauti ya kuvutia sana alikuwa bomba, sana hata mimi nilikuwa namkubali mkuu Click to expand... jibu swali... kama hujui funga bakuli hilo
mkatagogo JF-Expert Member Joined Nov 21, 2015 Posts 229 Reaction score 44 Dec 15, 2015 #23 Yuko Facebook hana jipya