Yuko wapi John Lisu?

Yuko wapi John Lisu?

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
john-lisu.jpg

Huyu jamaa ni gwiji la live gospel music. Vipi mbona hafanyi tena matamasha ya live recording, mwambieni arudi stejini.

Ushauri: afanye collaboration ya live recording na Krystals wale wa Canada. We need some serious Kiswahili live recording album.

Pia soma: SI KWELI - Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani
 
Labda yuko busy na mambo mengine
 
Lisu alileta mapinduzi makubwa sana kwenye live (recording) asa kwenye nyimbo za gospel japo kuna watu walishafanya yeye alifanya vizuri zaidi.
 
Lisu alileta mapinduzi makubwa sana kwenye live (recording) asa kwenye nyimbo za gospel japo kuna watu walishafanya yeye alifanya vizuri zaidi.
Yani yy ndo muanzilishi wa kurekodi live, wengine wakafuata.
 
Nakumbuka nilihudhuria live recording ya Jehova yu Hai, Ubungo Plaza. Popote ulipo unahitajika sana, uandishi wa nyimbo zako ni mzuri sana.

Siku hizi nyimbo nyingi za gospel na chorus tu za dakika nyingi, ni substance.
 
Lissu ni DON MOEN wa East Africa
 
Kwa Sasa ni legend. Ndiye mwanzilishi wa Live recording ya Gospel kwa Tanzania. Ashsuri vijana tu.
 
Mwanamuziki wa kitambo sana kwenye Bongo gospel music. Enzi hizo wenzake wanapigana vikumbo kwenye kutafuta locations kwa ajili ya ku shoot video za nyimbo zao! Yeye alikuwa anarekodi live, huku akionekana kama mtu w kuja hivi!!

Ila leo eti akina Neema Gopel Choir, akina Paul Clement, Rehema Simfukwe, na wengineo wengi! Ndiyo habari ya mjini kwa aina ile ile ya muziki wa akina John Lissu.
 
Back
Top Bottom